Posted by Williammalecela.com on Friday, February 13, 2015
Katika visiwa vya Zanzibar kunafanyika tamasha la sauti za busara.
Mmoja wapo wa wasanii ambao wanatumbuiza mwaka huu, ni Msafiri Zawose anayeimba muziki wa kigogo kutoka Dodoma katikati mwa Tanzania Mwandishi wetu Tulanana Bohela ameweza kukutana naye akiwa katika mazoezi kabla ya kwenda jukwaani na kuzungumza naye.
0 comments:
Post a Comment