Posted by Williammalecela.com on Tuesday, February 24, 2015
 |
| Mume wa Msanii maarufu wa Bongo Muvi Jack Pentzel (Kauthar) kwa jina la Gadner Dibibi leo amekanusha habari za udaku za hivi karibuni kwamba wameachana na kupeana talaka. Dibibi amesema kwamba ni kweli kulitokea tofauti baina yao ambazo ni kawaida kwenye mapenzi au ndoa yoyote ila ukweli ni kwamba hawajaachana wapo pamoja sana. |
0 comments:
Post a Comment