Posted by Williammalecela.com on Monday, February 02, 2015
Msani
mahiri wa Bongo Flava Jux leo amepost Mjengo kwenye Account yake ya
instagram na kuandika amekamilisha ndogo yake kubwa ya utoto, hii
inamaanisha sanaa ya muziki inafaidisha sana wasanii wanaojituma.
Karibu Tuchangie Maoni.
0 comments:
Post a Comment