Tuesday, February 24, 2015

"Jambo - kuna watu wengi sana wako kwenye list yangu ya friend request ambao hawajapata nafasi ya kuwa marafiki zangu - sasa kuna hawa ambao tayari marafiki zangu hawapendi picha zangu
wananiambia nitachomwa moto mpaka vidole kutoka na picha zangu na wengine wana niambia thamani sina thamani tena sasa sielewi kwa nini wanakua marafiki zangu wkt hawapendezwi na vitu ninavyo penda ? Okay sasa nita wa unfriend ili niwape nafasi watu wengine, na wewe ulie baki Kama hupendezwi JI unfriend na mm ili uweke wazi nafasi kwa ajili ya rafiki mwingine -"

0 comments:

Post a Comment