na hivi ndivyo namna esma platnum alivyowachamba wanadada hao kupitia mtandao wa
jamii.. huyu ndo mume wangu hana kazi wangu na ndo nampenda, anabeba mapochi ya wema
nampenda, malaya nampenda, nimeolewa ndoa ya mkeka mimi, sijapewa zawadi hayakuhusu maisha yangu niachie mwenyewe hayakuhusu maisha yako hayanihusu... sifanyi mnavyotaka nafanya
ninavyotaka kama nimekuzi lamba ndimu usitapike , see the comments of funs wa esma


0 comments:
Post a Comment