Saturday, February 21, 2015




Huyu ndiye Mkuu mpya wa Wilaya ya Mufindi Mh. Mboni Mhita tumia kichwa chako kusoma kampeni chafu hapa chini kwamba huyu chini mcheza Bongo Muvi Nice Chande ndiye huyu wa juu haingii hata akilini swali ni je nia na madhumuni ni nini hasa ya hawa wapinzani kumchafua Mkuu huyu ambaye ni msichana mdogo sana kwa umri na kumchafua Rais wa Jamhuri? Mwananchi jiulize mwenyewe!! - Le Mutuz

PICHA ZA MKUU WA WILAYA SISTA DUU ZAWAACHA HOI WATU. WAHOJI KAMA ATAWEZA KAZI

0 comments:

Post a Comment