Posted by Williammalecela.com on Monday, February 09, 2015
Rapa wa bendi hiyo, Frank Kabatano akifanya vitu vyake stejini.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara akimmwagia sifa Luiza Mbutu.
Baadhi ya wageni waalikwa wakiserebuka.
Siza Abdallah akiimba wimbo wa Segere.
Nyota Waziri akitoa burudani.
Rais wa FM Academia, Nyoshi El Saadat akifuatilia onyesho hilo.
Mkurugenzi wa Twanga Pepeta, Asha Baraka (kulia) akipozi kupiga picha na MC wa onesho hilo, Sakina Lyoka.
Mgeni rasmi akiwa na Rais wa TFF, Jamal Malinzi.
Mashabiki wakiserebuka.
Mkurugenzi wa Twanga Pepeta, Asha Baraka (kushoto) akiwa na Rais wa TFF Jamal Malinzi wakijadiliana jambo.
ONYESHO la Bendi ya African Star ‘Twanga Pepeta’ kumpongeza kiongozi wa bendi hiyo, Luiza Mbutu kutimiza miaka 16 katika bendi hiyo bila kuhama lilikuwa la aina yake.
Onyesho hilo lililofanyika jana katika Ukumbi wa Mango Garden, Dar mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangar
0 comments:
Post a Comment