LEMUTUZ

Wednesday, February 18, 2015

PICHA ZA BAADHI YA WAKUU WAPYA WA WILAYA WALIOTEULIWA NA RAIS LEO!!

Posted by Williammalecela.com on Wednesday, February 18, 2015
Mwakalebela kati kati.
Paul Makonda.
Shabaani Kisu wa kwanza kushoto.
Zolothe Steven
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, amefanya uteuzi wa wakuu wapya wa Wilaya, kuwahamisha vituo vya kazi huku wengine wakiachwa.

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema majina 27 mapya yameteuliwa huku wengine 11 wakitupwa nje ya uongozi huo.

Walioteuliwa ni pamoja na

1. Katibu Mkuu wa Zamani wa TFF, Freddrick Mwakalebela
2. Mtangazaji wa TBC, Shaban Kisu
3. Katibu wa Hamasa wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Paul Makonda
4. Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mboni Mhita
5. RPC wa zamani, Zolothe Steven.

Majina hayo yametangazwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda mjini Dodoma mchana huu.



Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

TOTAL PAGEVIEWS

Popular Posts

  • LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
  • BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
  • THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
  • IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
  • PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
Copyright © LEMUTUZ

Developed by MKCT