Siku ya jana kwenye kurasa mbalimbali za watu maarufu kwenye mtandao wa
INSTAGRAM walibandika picha hizi za mwanadada Wema Sepetu akiwa na Ommy
Dimpoz wakiwa katika mapozi tofauti tofauti.
Kila zilipowekwa, wengi wa bonyeza kitufe cha kuzipenda na wengine
waliandika maoni yao huku wengi wakiwasifia kwa jinsi walivyopendeza, na
wengine walienda mbali zaidi kuwa wamependezana hivyo ingependeza hii
iwe ni Le PROJECT mupyaaa.
0 comments:
Post a Comment