Posted by Williammalecela.com on Monday, February 09, 2015
Wenzangu na mie ambao mlikuwa hamuamini kuna ka Project kanaendelea kati ya Wema Sepetu na Ommy Dimpoz Basi Hii ni picha nyingine wakiwa Kitandani huku Ommy Dimpoz akiwa kwenye usingizi na Wema Akaibia Selfie huku akitabasamu...
0 comments:
Post a Comment