Sunday, February 8, 2015


seth apatamshtuko mara baada ya jana usiku kupost picha akiwa kwenye gari lake na kuandika kuwa anafeel like kujamiana, but cha kushangaza kuna baadhi ya wadau walimbadilika na kumuandika vibaya kuhusiana na post hiyo, na hiki ndicho alichokiandika bikira wa kisukuma mara baada ya kuitwa shoga Si kawaida yangu kujibu ANYTHING especially kama ni watu wap#mbavu wachache wakiwa wanadiscuss kwenye vigroup msh#nz huko kwa sababu wanazozijua lakini LEO nimeamua
niliseme hili LOUD AND CLEAR.. Hivi hapa mjini dili ni kuwa SHOGA???Kuliwa T#k ni CV kubwa sana hapa mjini kiasi kwamba Kila Mtu aliwe t#k ili tufanane??Its so disgusting..Nimeweka picha ya kawaida sana nimepiga Selfie in my car nikasema I feel like Socializing tonight..Kujamiiana ni Kiswahili FASAHA cha neno SOCIALIZE linalomaanisha Kukutana na watu kwa ajili ya kuongea/kustarehe...Nenda Google au kaulize Baraza la Kiswahili(BAKITA) au nenda pale Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili(TUKI) waulize...WHAT WAS WRONG WITH THAT???Kwenye Page yangu mwenyewe Mnipangie Picha ya kuweka na kiswahili gani au Kiingereza gani niandike??WHO ARE YOU??? Nitalisema hili leo kama MWANZO NA MWISHO,Mungu aliniumba MWANAUME akiwa na maana,angetaka Nig#ngw angeniwekea Papuchi na Mzunguko wa Siku 30..Hakushindwa!Na ningekuwa nainama muda huu lakini He made a MAN,a real one...Hakuna Shoga mpya hapa mjini,wanaogongwa wanajulikana NA MNAWAJUA KWA SURA NA MAJINA...Mie hiyo hobby mpya ya kupumuliwa nimeanza lini?? GIVE ME A BREAK...Ntaposti ninachojisikia kama hupendi Kile kibutton kipo bado..BLOCK ME! Nikiwa Shoga Mimi Yesu atarudi Kesho na atatua na Fastjet ya Sa9 mchana pale COCO BEACH AIRPORT...Ask your girlfriends if Iam,they will tell you how they enjoy sweet Orgasms that you cant deliver to them..A straight Sukuma Man..Endeleeni kunidiscuss..LOW MINDS BUSY DISCUSSING PEOPLE..Kama hamna kazi njooni Natafuta Mahouseboy hapa home...IDIOTS!

0 comments:

Post a Comment