kuna watu wengi kwa nafasi zao walibarikiwa sana na Mungu.But hawakuweza kukaa chini na kufikilia kwanini Mungu aliwaona wao kwanza.Walisahau kwamba Mungu anauwezo wa kukupa kile ulichomuomba kwa dk 1 na pia akakunyang'anya kwa dk 1..walitumia nafasi zao vibaya na kuiga
tabia mbovu ambazo hakuwa nazo.Bila kujua kwamba wanajichafua.Mwisho wa siku ukiporomoka unasema UMELOGWA.. .Nani akuroge?Mchawi wa maisha yako ni wewe mwenyewe. Tuishi kwa kukumbuka Tulipotoka na kuwa na HOFU ya Mungu.

0 comments:
Post a Comment