
Access Bank keki ikiwa katika muonekano wake

Mpiga solo gita akifanya yake katika hafla
C.E.O wa AccesBank Mr. Roland akiwa na ma MC katika hafla kwenye picha katikati
Meza iliyo andaliwa maalum kwa keki na shampain
C.E.O Access Bank akizungunzia juu ya maendeleo ya bank
Aki kata kake tayari kwa kuwalisha viongozi wa Branch
Akimlisha MC keki
Wafanyakazi wa Access Bank wakiwa tayari kwa kufungua shampan
Baada ya kufungua shampan
Bwana Muganyizi katika pozi
C.E.O Access Bank akiwa na baadhi ya waalikwa waki furahi kwa pamoja
Watu wakijimwaga na burudani matata
C.E.O akiwa makini na stape
Tuzo za walifanya kazi vizuri kwa mwaka 2014
C.E.O Access Bank Mr. Roland na seniour Marketing officer Muganyizi j Bisheko
Wakijianda na mahojiano na waandishi wa habari wa radio na televisheni
Seniour Marketing Access Bank akizungumza na waandishi wa habari live
Baada ya mahojiano walipata muda wakupongezana katika yale waliokuwa wamepanga yafikie kwenye malengo
Mezani palipendeza kupita kiasi
Wakati wa chakula
![]() |
| Le Mutuz alipofika kwenye the AccessBank party na mbebezz wake "Le Msomali" Super Ayani live last night!! |
Seniour Marketing Officer akimkaribisha The big show Lemutuz kwenye hafla
Mtoa burudani kwa style yake ya kucheza na moto akiwa kwa stage
Lemutuz akiwa makini na kupata mawili matatu juu ya hafla
Mr DJ akiwa anawapa watu shangwe na watu wanashangweka barabara kabisa
Wafanyakazi wa Access Bank wakionesha vipaji vyao katika kumalizia hafla na kukonga nyoyo za waalikwa kwenye hafla hiyo.

























































0 comments:
Post a Comment