Posted by Williammalecela.com on Saturday, February 21, 2015
 |
|
 |
| @LE MUTUZ STRAIGHT TALK LIVE!!- Jana watu wengi maarufu wamejitokeza kulaani maauaji ya Albino nchini kwa fikra za kishirikina, shame on all of us wabongo tunahusika na this mess toka miaka mingi iliyopita nikiwa ninaishi Mbelezz nimesikia sana hizi habari leo baada ya kurudi bado hizi habari zipo now kwenye makelele ya jana kuna mpaka Waziri mmoja wa Serikali ya sasa naye amelaani hivi vitendo so I am like whaaat? Mbona Tembo tumepigana mpaka sasa tumaponyesha na wahuni sasa hawa binadam wenzetu tumeshindwaje kuwalinda? Halafu kuna majuha fulani kwenye hii jamii ambao wanahangaika kila kona kushabikia wagombea wao wa urais as if ni kweli wanaweza kuongoza hivi walikuwa wapi na hili suala la Albino? U kweli ni kwamba Taifa zima la Tanzania hatujawahi kuwajali hawa Albinos, tuliwachukua 2 tukawapa Ubunge kuonyesha tunawajali and that was all na wale Wabunge nao wakawasahau wenzao inaitwa mficha ugonjwa huumbuliwa na kifo leo tumegundua kuwa kumbe bado wanauliwa, now usiwe mjinga ukaamini kwamba this is only one case no way maana yake ni kwama kuna kesi nyingi sana zinafofanyika kimya kimya ila this one made it to the media uchwara ya bongo. Badala ya kupoteza muda mwingin kulaani wauaji tujilaani wenyewe Taifa kwa kutokuwajali na tujirekebishe sasa, tuwachane na huu unafiki nafiki wa kujionyesha onyesha only because kesi ya kifo cha Albino mmoja kimeifikia media tukumbuke kuna kesi nyingi za mauaji ambazo haizfiki kwenye media!!. - Le Mutuz |
0 comments:
Post a Comment