Kweli mafahari wikigombana nyasi ndio uumia! Picha za mwanamziki Diamond akiwa na mpenzi wake Zari wakiwa ndani ya gari alizoziweka mtandao usiku wa kuamkia leo siku ya wapendanao na kuandika kwa maneno ya lugha ya kingreza kuwa wanaelekea siku ya Valentine “Road to Valentine...”
Zilizua timbwili la maneno miongoni mwa mashabiki wa Diamond ambao walikuwa wakisifia “Project hii” na wale wa Wema aka TeamWema walikuwa wakiponda na kumshabulia sana mwanadada Zari ikiwemo kumuiga mtindo wa nywele Wema. Hii ilipelekea watu kutupiana maneno makali na mazito yanayoweza kukufanya msomaji upofuke macho.
Diamond kapotea maboya😄😃😀...Mbongo gani huyu?? Wabongo tunajulikana EA kua ni wajanja huyu vipi kauvaa mkenge kwa hili jimama la kiganda tena lenye watoto watatu.. Mshamba tu huyu wa tandale kwa mfugale!!
ReplyDelete