Monday, February 9, 2015

Mgeni rasmi wa sherehe za Super Star Singer Luiza Waziri wa Michezo na Habari Dr. Mukangara akizungumza kwenye sherehe hizo at Mango Gadern, wengine pichani ni kutoka kushoto ni mume wake Super Star Luiza Mbutu mwanamuziki maarufu wa zamani wa bendi ya Makassy Aimala Mbuttu, Mwenyekiti wa CCM Shinyanga Mh. Mgeja, Katibu wa Uenezi wa CCM Mkoa wa Dar Mh. Juma Simba na Mwenyekiti wa TFF Mh. Malinzi.  








Mkurugenzi wa ASET Kampuni inayomiliki bendi ya Twanga Pepeta Asha Baraka akimkabidhi zawadi ya jiko Mwanamuziki wa Miaka 16 katika bendi yake Super Star Luiza Mbutu pia alimkabidhi kiwanja cha kujengea nyumba eneo la Kinondoni.

0 comments:

Post a Comment