Posted by Williammalecela.com on Friday, February 27, 2015
 |
Prof.Tibaijuka:Nilitoa 10 Million benki kununulia familia mboga za majani
Katika hali ya kustaajabisha Prof.Tibaijuka wakati akihojiwa na
tume ya maadili alipoulizwa swali na Ms Getrude Cyriacus ambaye ni
mwanasheria wa tume hiyo juu ya kwanini alitoa pesa hizo benki kwa
nyakati tofauti na kwa matumizi tofauti ikiwamo sh. 26 milioni kununua
hisa katika benki ya mkombozi wakati huohuo akidai aliomba pesa kwa
ajili ya kusaidia shule yake...Alionekana kuchanganywa na swali hilo na
kujibu alitoa sh milioni kumi benki kwa ajili ya kununulia familia yake
mboga za majani,jibu lililowastaajabisha na kuwaacha hoi watu waliokua
wakfuatilia mahojiano hayo yaliyochukua masaa matatu.
|
 |
| Mtoto wa Mama Anna Tibaijuka |
0 comments:
Post a Comment