Sunday, February 8, 2015



Wema akipozi, Diamond katikati
Mpenzi wa zamani wa staa anayekimbiza Afrika katika ngoma za kibongo fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’, Wema Sepetu ‘Madam’ ameonesha bila kitu kinachoweza kutafsiriwa kama ni kujaribu kiberiti cha Diamond kama bado
kina njiti za mapenzi…hii inakuja baada ya kutupia picha zenye pozi za kihisia mara tu Diamond alipotupia zake na ‘the bosslady’ Zarina Hassan… ZICHEKI…

0 comments:

Post a Comment