Kwa
mara ya kwanza kwama najitokeza kuuliza swali ambalo nahisi majibu
ninaweza kuwanayo ila labda sijajua kuwa haya nilionayo ndio majibu
sahihi..(Siunakumbuka enzi za soma hadithi hii kisha jimu maswali hapo
chini....). Leo hii nataka kukuja hivi huyu Wema Sepetu ni nani?
kwamaana kuwa anafanyanini hapa nchini hadi kuwa mtu maarufu kihivyooooo
na hadi kuwa na mashabiki ambao wameapa kumpenda na kusapoti kila anachokifanya hata kama ni Negative (mara nyingi huwa -)......Mbali ya wale wanamfuatilia kupitia magazeti ya UDAKU (uswazi ndio wengi hawa)..kwenye mitandao ya kijamii kama FESIBUKU, TWITA na INSTAGRAMU kuna vikundi na watu mmoja mmoja wanao simama upande wawema kwamajiana tofauti

0 comments:
Post a Comment