Tuesday, February 24, 2015

10. Elizabeth Michael ‘Lulu’

Binti huyu ana umri wa miaka 21 lakini ni mrembo na anayejiamini. 

Ni binti kutoka Tanzania mwenye kipaji cha kuigiza kiasi cha kuwa tishio kwa wakongwe. Ni kweli huwa anatumia ‘make up’ lakini hata akiwa hajatumia wala kuvaa ‘mawig’, bado anaonekana ni mwenye kuvutia.

9. Omotola Jalade Ekeinde.

8. Chinyere Yvone Okoro

7. Jackline Wolper.

6. Genevieve Nnaji.

5. Jackie Appiah Agyemang.

4. Nadia Buari.

3. Ini Edo.

2. Stephanie Okereke Linus.

1.Rita Dominic.

Wafuatiliaji wa filamu za Nigeria watakuwa wanamjua vizuri binti huyu. Ana miaka 40 lakini bado anadai. Kila sehemu ya mwili wake ina muonekana wa kiurembo.

Angalia midomo yake, angalia macho na ngozi yake. Hakika ni kati ya waigizaji wa kike Afrika wenye mvuto wa aina yake

Categories:

0 comments:

Post a Comment