Posted by Williammalecela.com on Saturday, February 28, 2015
Daraja la Mwaya wilaya ni Kyela ambalozo lilizinduliwa na Waziri Mkuu, mizengo Pinda.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimana na watalaamu wa kampuni ya kichina ya CHICCO kabla ya kufungua daraja la Mwaya lililojengwa na kampuni hiyo wilayani Kyela Februari 26, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Mama Mlemavu, Lesia Kambungwe baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Kyela akiwa katika ziata ya wilaya hiyo Februari 26, 2015<(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Kyela akiwa katika ziara ya mkoa wa Mbeya Februari 26, 2015. Wapili kulia ni mkewe Tunu na wapili kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Kyela anayeoondoka, Margareth Malanga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa chelezo ya kuundia meli kwenye bandari ya Itungi, Kyela akiwa katika ziara ya siku moja wilayani humo Februari 26, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mwendesha baiskeli akipita katika daraja la zamani la Mwaya wilayani Kyela huku wakitazama daraja jipya (kulia) lilozinduliwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda Februari 26, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Zamani wa Mbeya Mzee John Mwakipesile baada ya kuwasili kwenye makazi ya Mkuu wa Wilaya ya Kyela kwa ziara ya siku moja wilayani humo Februari 26, 2015. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Wanafunzi wakimpungia mkono Waziri Mkuu Mizengo Pinda hayupo pichani
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Katibu wa CAHDEMA wa kata ya Mwaya, Ageni Pamesa kabla ya kufungau maabra ya shule ya sekondari ya Mwaya akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mbeya Februari 26, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (wapili kulia) akitazama mafunzo kwa vitendo wakati alipokagua maabara ya Kemia katika shule ya seondari ya Mwaya wilayani Kyela Februari 26, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment