Thursday, March 26, 2015

Pichani ni moja ya Gazebo la AccessBank lililopo mtaani kwa ajili ya kutolea elimu kwa wananchi


kuhusu huduma za kibenki kupiia mawakala wake.



Baadhi ya maofisa wa AccessBank wakiwa kaika gazebo lao maeneo ya mwenge mpakani jirani

kabisa na mmoja wa WAKALA wa AccessBank iitwaye Magdalena Moses maarufu kama JK
Internet Café.
 Wateja wakifuailia kwa makini maelezo juu ya Accessbank WAKALA kuoka kwa wafanyakazi wa
AccessBank.
Afisa wakala wa AccessBank akiwa ametembelea mmoja wa mawakala aliepo eneo la mwenge  kuangalia huduma zinavyo endelea.
Wafanyakazi wa AccessBank wakiendelea kuelimisha wateja kuhusiana na huduma mpya ya AccessBank WAKALA.

0 comments:

Post a Comment