Thursday, March 26, 2015


birthday party ya martin kadinda yafumbua mambo mengi mjini dar es salaam, before nazani mitandao mengi  iliandika yakuwa mwanadada aunt ezekiel amejifungua, ni hii ilikuwa mara baada ya mwanadada huyo kupost kavideo
akiwepo hospital akishikilia mtoto, but kwa kipindi kile aunt yake alikanusha tuhuma hizo na hiyo imedhiri jumatatu kwenye birthday party ya martin kadinda baada ya mwanadada huyo kuonekano tumbobado kubwaa.... 

0 comments:

Post a Comment