Posted by Williammalecela.com on Friday, March 27, 2015
 |
Back to life Sober House ni vituo vya kusaidia Waathirika wa MADAWA YA KULEVYA pamoja na POMBE na BANGI, vipo Kigamboni Jijini Dar es Salaam na pia Mjini Mwanza,
Wananchi wote wenye hayo matatizo au Ndugu na familia waleteni waatihrika katika Vituo hivi ambapo sharti la kwanza ni kukaa katika kituo kama hiki kwa Miezi Sita mfululizo: kwa maelezo zaidi piga simu sana:- +255 715 744 464 PILI MISSANAH |
0 comments:
Post a Comment