Tuesday, March 24, 2015


MWANAMUZIKI wa kizazi kipya, Suleimani Msindi ‘Afande sele’, ametangaza nia ya kuwania ubunge wa Morogoro mjini kupitia Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania).
Msanii huyo ametangaza azma yake hiyo jana mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, baada ya kujiunga na chama hicho akitokea Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

“Niliumizwa baada ya kusikia kuwa eti katiba ya chama inasema kuwa mwanachama anayekwenda mahakamani kudai haki yake anakuwa amejivua uanachama wake.

Kwa chama kama Chadema sikuamini kama kingekuwa na sheria kandamizi kama hiyo ya kuzuia wanachama wake kwenda mahakamani, ambacho ndicho chombo cha mwisho kwa mtu kudai haki,” alisema.

Akielezea sababu nyingine iliyomfanya kujitoa Chadema imechangiwa na kuondolewa kwa Zitto Kabwe, ambaye alichangia kumhamasisha kujiunga na chama hicho.
 
  • Saidi Mohamed Bangi ni bangue nikavue nguo stejini ndo iyo sasa
  • William Sylvester hicho chama au kimbilio la wachovu?
  • Rama Kichwa Mtawaita majina yote mabaya, lakini mwisho wa siku tutawaona huko, nyie si kina tangatanga?
  • Saidi Mohamed Iko kitendo alcho kifanya we unadhani hajanuiyah uyoh!!@ rama
  • Ummy Mohamed Balii Mbona mheshimiwa nguo za mtoka? Mwe majanga!
  • Matullu Edward Nzogu hapo ni club,yupo kwenye stage,so amefanya kitu sahihi sehemu sahihi !!!
  • Andrew Chikuje Hakuna mtu au kiongozi ambae hajapitia stage ya ujana na mambo kadha wa kadha kuna wavuta bangi, walevi, uwasherati, kuamini uchawi na mbaya zaidi wengine kufanya biashara haramu wengi wao walifanya au wanafanya kwa kujificha hadi sasa but huyo jamaa alifanya kipindi hicho ujanani sidhani kama leo hii akija stejini atafanya hivyo ila kwakuwa uchaguzi huooo unajongea chafuaneni tu tutasikiliza policy tu yamgombea.
  • Elly Myombo juzi alipokuwa kwetu alikuwa shujaa ila kwavile kaondoka leo anakuwa mvuta bangi... guys tujifunze kuacha kutetea maovu hatakama yako ndani ya kile unacho kipenda... uovu usisafishwe na mapenzi yako ama usionekane tu nje ya kile unacho kipenda... tuwe wazalendo wa kusimamia haki na kukemea maov bila kujali mapenz yalipo... NIMEWAZA KWA SAUTI TU.. MSINIJENGEE CHUKI
  • Salum Machado Ujana wenye kutembea uchi
  • Andrew Chikuje Kuna watu wako uchi wewe unawajuwa Salum Machado
  • Saidi Mohamed Nipo pa1 nawe umeongea jambo la mngi sana!!elly
  • Salum Machado Shemeji umesema ukipitia ujana ndio huo ujana hupi unaolusiwa kupembea uchi tuliozaliwa katikati ya jiji atujawai kutembe hivyo itakuwa huyo
  • Andrew Chikuje Salum Machado Post zile picha za washikaji zetu wanaojifichaga na mambo yao ya usiku na leo wapo mjengoni au unajifanya umesahau!
  • Salum Machado Hata huko samaki samaki watu wanakaa uchi
  • Saidi Mohamed Kuna kitu kipo mbele ake uyo c bure!!
  • Andrew Chikuje Haha hahaaaaaaa Salum Machado umeona eehee sasa hata huyo alikuwa hukohuko
  • Mwasakafyuka Ndwanga Samson Mtindo wake wa mavazi ! Ni poa Morogoro imepata jembe
  • Omary Senda Jr. Hiyo Sanaa kijana, acha kumdis
  • Andrew Chikuje Nakumbuka sikumoja Mlimani city ulikula bata hadi ukavua shati but hukuniona Salum Machado kwahiyo usishangae hasa kwa mshereheshaji ni balaaa
  • Mkubwa Kambi Habari yako ni nzuri ila picha hukumtendea haki
  • Njiku Mawessa Ujana una mambo" lkn c kigezo cha kumzuia yeye asiende mjengoni/.viongozi kibao wamefumwa wakila Uloda..je? na wao awafai?..manyele meupe mboni umsemi!..na ishu yake ya.."D I T"
  • Prince Kavungwe NA BADO# ACT taifa kwanza
  • Cosmas Kazileo baadaye akaja kuwa gavana wa california
  • Vitalis Kisandu Mkwama,ndiyo maana mnatakiwa kabla ya kujiunga na jambo lolote,iwe Chama,Vyama vya Ushirika,Saccoss hata kupata Ajira,soma taratibu,sheria na misingi ya Taasisi husika.Kama yeye alikuwa Mwanachama na halijui hilo,basi ana matatizo ya akili.Yaani ni saw...
    2 hrs · Like · 1
  • Ivan James KAJITAMBUA KWAKUVUA GWANDA NAKUVAA UZALENDO_ACT_TANZANIA
  • Idrisa Ally Salum Chama kikiwa na sheria hiyo ya "Kutoshtakiwa" kinakuwa ni cha DEMOKRASIA au MALI YA WATU BINAFSI?. Sasa hiyo itakuwa SERIKALI gani isiyoshtakiwa?.....hivi mtu akiwa chadema huwa ana akili sawa sawa kweli?.
    49 mins · Like · 2
  • Iddy Harnaa Mkwama Chadema ni kama wodi ya wagonjwa wa afya ya akili@ Idrisa Ally Salum
    48 mins · Like · 2
  • Vitalis Kisandu Salum,kwa mujibu wa Katiba ya FIFA na Vyama vyake Vishiriki kama TFF,ni marufuku kwa Mwanachama kufikisha maswala ya Mpira Mahakamani.Guys,ndiyo maana nawashauri muwe wadadisi wa mambo,msingie kichwa kichwa kwa ushabiki wa kisiasa.Kutojua sheria na taratibu,hakukuzui kutoshtakiwa.
    46 mins · Like · 1
  • Idrisa Ally Salum Sijui kama WANACHAMA WA CHADEMA wote wanajua kuwa CHAMA CHAO HAKISHTAKIWI!!!....na kama wanajua halafu bado wanakiita CHAMA CHA DEMOKRASIA nitakuwa sina shaka kusema kuwa WANAUGUA UGONJWA WA AKILI.
    45 mins · Like · 1
  • Vitalis Kisandu Maalim Salum,moja wapo wa aliyekuwa Mgonjwa wa akili wa mujibu wa statement yako,ni Mh Zitto.
    43 mins · Like · 1
  • Ivan James Kajitambua na sasa yupo ACT_TANZANIA #Vtalis Vitalis Kisandu
    40 mins · Like · 1
  • Vitalis Kisandu Hahahahaahah James,eti kajitambua.Hivi unajua mmoja wa Watunga Katiba ya Chadema ni Mh Zitto,Ivan?.
    38 mins · Like · 1
  • Idrisa Ally Salum Zitto "Kapona" sasa bado waliyobaki. Yeye alipona mapema "Ndiyo maana aliamua kuivunja sheria ya kipuuzi akawapeleka Mahakamani"
  • Prosper Mgimwa UKWELI KWA MADA HIYO CHADEMA WAGONJWA WANASHINDWA KUWAPA WANACHAMA HAKI ZITTO HAKUWA NA TATIZO ILA WALIONDANI NDIO WENYE TATIZO HASA WAKUTOKA KILIMANJARO NA BUKOBA MAANA CHAMA HICHO KILIKUWA NI SACCOS YA WACHAGA KUSAIDIANA SASA WAKABADILI KUWA CHAMA CHA SIASA WAGONJWA KWELI
    37 mins · Like · 1
  • Vitalis Kisandu Maalim Salum,kumbuka mmoja wa Watunga Katiba ya Chadema ni Mh Zitto.
  • Iddy Harnaa Mkwama Kwahiyo alijitengenezea kutanzi?@ Vitalis Kisandu
  • Vitalis Kisandu Hilo jibu wewe Maalim wangu,Mkwama.Ukiwajua Wanasiasa wa Tz Sheikh,hawakusumbui kichwa.Huwa wanajua kucheza na akili za Watanzania wasiojua kureason na kufuata mkumbo.
  • Mc Lameck Simbo's Napita tu..
    Kama una akili timamu utagunduwa kuwa viongozi waandamizi wa chadema walimtengenezea zitto zengwe baada ya kuona anataka kufuata nyayo za marehemu chacha wangwe kutafuta demokrasia ya kweli ndani ya cdm..naamini zitto yuko sawa kwa alichokifanya. Hongera mwanaharakati wa kweli
    mimi ni mchagga na ninakubali wazo laPROSPER Prosper Mgimwa...kuwa cdm ni saccos ya watu wa kaskazini
  • Vitalis Kisandu Hahahahahah Simbo,hivi unamzungumzia Zitto yupi Mkuu,huyo aliyesema kuwa Mwaka 2015 hatogombea Ubunge na plan yake ni kugombea nafasi ya juu zaidi ila leo anawaambia kuwa atarudi mjengoni November 2015?.Sasa jiulize,atarudi Mjengoni kama Staff wa Bunge,Raisi(Kufungua Bunge) au Mgeni mualikwa au wale wanaende Bungeni kujifunza shughuli za Bunge?.


0 comments:

Post a Comment