Monday, March 16, 2015

Habari zilizotufikia hivi punde toka kwa wasomaji wetu wanaopatikana maeneo ya karibu na hostel za mabibo zinaripotiu kuwa moja ya mabweni ya hosteli hizo BLOCK B zinaungua moto muda huu ,Tunaendelea kufuatilia chanzo cha moto huo ambacho mpaka sasa hakijajulikana huku juhudi za baadhi ya wanafunzi wakiokoa mali zao ...ENDELEA kuwa nasi kwa picha na habari kadri zitakavyotufikia........... Source:- Mwanaharakati Blog

BREAKING NEWS; BWENI MOJA MABIBO HOSTEL YA CHUO KIKUU UDSM YAUNGUA MOTO MUDA HUU

on in

Habari zilizotufikia hivi punde toka kwa wasomaji wetu wanaopatikana maeneo ya karibu na hostel za mabibo zinaripotiu kuwa moja ya mabweni ya hosteli hizo BLOCK B zinaungua moto muda huu ,Tunaendelea kufuatilia chanzo cha moto huo ambacho mpaka sasa hakijajulikana huku juhudi za baadhi ya wanafunzi wakiokoa mali zao ...ENDELEA kuwa nasi kwa picha na habari kadri zitakavyotufikia...........
- See more at: http://mwanaharakatimzalendo.blogspot.com/2015/03/breaking-news-bweni-moja-mabibo-hostel.html#sthash.ttP9HUPF.dpuf

0 comments:

Post a Comment