Sunday, March 8, 2015

Hali ya taharuki imetanda katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha baada ya kugundulika mahali walipofichwa watoto17 wakiwamo watatu wa familia moja wanaodaiwa kupotea tangu mwezi Februari mwaka jana  kwa madai ya kufundishwa  maadili ya imani ya dini ya kiislamu.

Umati mkubwa wa wakazi wa mji wa Moshi wamejitokeza katika kata ya pasua SOMA ZAIDI>>

0 comments:

Post a Comment