Diamond Platnumz
Umepita mwaka na miezi tangu msanii wa bongo fleva the super star Diamond kupost akiwa anakagua mjego wake mpya aliokuwa akisema anaujenga .
Ila kuianzia jana afunguka na kuonekana akipost baadhi ya ,maeneo ya nyumba yake kwenye ukurasa wake wa Instagram ambayo yakionyesha dhahili kuwa ujenzi umekamilika kwa asilimia mia pamoja na hivyo Diamond alisema kuwa katika nyumba hiyo kuna sehemu ya kupumzikia nakuogelea (Swimming Pool) Gm uwanja wa Basketball na pamoja na sehemu yakufanyia mazoezi yakudance vikiwa vimeambatana na studio .




0 comments:
Post a Comment