Msanii
Nasib Abdul amesikitishwa na ujumbe wa simu unaosambaa kwa njia ya
meseji ya kwamba amepigwa risasi, Diamond amesema taarifa hizo ni uzushi
na akatoa onyo kali atakaye bainika na kushikwa na ujumbe huo
anausambaza hatua kali za kisheria
zitachukuliwa, tukiongea na mtu wake
wa karibu ambaye mpaka sasa yupo na Diamond amesema ni mzima
0 comments:
Post a Comment