Na haya ndio maneno ya diamond the platnumz: Shukan nyingi sana ziwafikie VoxAfrica toka Nchini Wingereza pamoja na nyinyi wadau wetu kwa support yenu Mnayozidi kunipa..
.Mwanenu nazidi kukaza Uzi, kuhakikisha nasi muziki wetu tunauweka kwenye Kilele... Nimeshaandaa silaha za Kutosha... Nizidishieni Dua ili Nizifyatue KiRoho Mbaya..!!!!! ( Thanks alot VoxAfrica for keeping that pace of promoting African Music Constantly..

0 comments:
Post a Comment