jamni ukimya wang na kupotea kwang haimaanishi labda sijui nn ninaendelea au labda nimeishiwa au vyovyote mnavyo chukulia nyie kama le madams waang kasema tuwe tunajipa break sasa kunatatizo gani na mie nikijipa break...basi isiwe sababu ya nyie kuanza kutukana tukana ovyo yani kuna muda hata point hamna ila sababu tu domo lako hupigi mswaki basi unajiskia kumtukana wema roho wenzetu hamchoki haya nimepost video mmeanza kupanuka afu hamjistukii kabisa kama
madams
wenu maisha yake yamekata kona msitulaumu sisi mlaumuni yeye mwenyewe
cz sis hatujamtuma aharibu ndoa yake embu tupumzisheni....kha NA UNAFKI
JAMANI TUACHE tangu niwaambia kama unafki kipaji basi naona ndo mnataka
kukikuza jamn vibaya hivyo mtu mmoja unamiliki accnt 20 huku unampenda
wema kule unamwita wema michirizi jamn wanadamu mbona mnamambo kwan
michirizi kitu chaajabu anayo simba sembuse wema.....yani hapa ndo
napochokaga mie ndio maana sionagi haja ya kujionesha hata kwa team wema
wenzangu maana tangu tuambiane fake basi hata maji tushindwe kuombana
roh sio vizuri kama umeamua kumpenda wema mpende kwa mapenz yako lakn
sio umpende sababu dougiemasta kasema umpend mm sio wema wala sio mungu
sasa vile vikao vyenu vya mission tunamsaka dougiemasta tunamuharibia
wema vivunjeni jamn mie sipatikani hata kwa tunguli mganga atakwambia
mteja unaemtafuta she is not richabo....kha ILA WALLAH BORA UWE MBEA
KULIKO MNAFKI HAHAHA...na nyie midomo wazi nipo rikizo so save ur stupid
commnts nisubirin nirudi
0 comments:
Post a Comment