Tuesday, March 24, 2015

Mwandishi wetu Blogu ya Wananchi: Hii ndio picha ya kwanza ya Bupe Mwaipungu mwenye fulana nyeusi mama wa watoto 2 wa Marehemu Godfrey Rupia
aliyewakataza watoto wake wasije kuhudhuria mazishi ya baba yao hapa bongo alipofariki Miezi michache iliyopita kutokana na yeye kuachana naye kabla hajafa, lakini cha ajabu ni kwamba Mama huyu pamoja na kuumwa sana na kulazwa Hospitalini huko Boston anakoishi, amekua akiisumbua sana familia ya Marehemu baba wa watoto wake aliowazuia kuja kumzika akitaka familia hiyo impe cheti za kifo yaani Death Certificate ya Marehemu kusudi akaombee pensheni na mafao ya Marehemu. Habari za ajabu na kusikitisha zinasema Mama huyu wa ajabu sana hata huko kwenye Jumuiya ya Wabongo huko Boston amekuwa kaifanya vitendo vingi vya aibu sana kwa kuwatukana sana Wabongo wenzie wanaomshangaa kila wakimuona kwa vituko vyake. Na habari za yeye kudai cheti cha kifo cha Marehemu bab a wa watoto wake pia kimewasahangaza familia nzima ya Marehemu ambao hawakutegemea baada ya kuzuia watoto wasije kwenye mazishi angaweza kufanya kitu cha ajabu na cha kichawi kama hicho. Hata sisi Blogu ya Wananchi tumeshitushwa sana na hizi habari toka kwenye chanzo kimoja cha familia hii ya marehemu na pia ni habari zinazifahamika na jamii nzima ya Wabongo huko Boston.


0 comments:

Post a Comment