Leo
katika pita pita zangu kwenye kurasa za mastaa mtandaoni nimekutana na
hii picha ya madam kwenye ukurasa wa mmoja kati ya wapambe wake na
kuandikiwa maneno “Ni nini Icho kwani kidolen?”.
Picha hii ya
Madam imeibua komenti kabao huku wengine wakisifia na kutoa vijembe kwa
wale wanaochonga sana kuhusu madam, huku wengine wakiendelea kuponda
kuwa madamu
anajifariji tu kutokana na kile wanachodai kuwa mapigo ya Diamond na Zari yanampeleka puta.
Ninyukano tu wamaneno unaoendelea huko Insta baina ya team hizo mbili.
Wale
wajuzi hebu fungukeni hiyo pete ni yauchumba au? Kama ni kweli basi
tumpongeze madamu kwa hatua hiyo, kuhusu nani amemvisha hata mimi sijui.
Mzee wa Ubuyu

0 comments:
Post a Comment