Friday, March 27, 2015

"Hichi kipindi sio cha kukosa na si cha kawaida kabisa - mm nimekiona kabla hakija rusha Ina maana najua ninacho kiandika- ni
kipindi ambacho naweza kusema kwa Tanzania hakijawahi kutokea / kipindi ambacho kina onyesha matukio halisi na watu wahusika - kinachoonyesha jinsi watanzania wanao ishi Afrika ya Kusini - Kama mnavyo jua kuna wkt miaka ya 90 vijana wengi wakitanzania walikua wanakimbilia south kwa kuzani kutakua na unafuu wa maisha - sasa je unataka kujua maisha yao halisi ? Basi usikose kuangali kipindi hichi cha BONDENI kila jumamosi saa tatu kamili usiku na marudio ni jumapili saa nne asubuhi - Kama una ndugu jamaa au rafiki aliondoka mika mingi nyumbani na hujui yuko wapi usikose kufatilia inawezekana ndio chanzo cha kufahamu yuko vipi na anafanya nini- USIKOSE BONDENI TV SHOW TBC1 KILA JUMAMOSI SAA TATU KAMILI USIKU - @bondeni_tvshow @bondeni_tvshow"
Mratibu wa kipindi hicho kipya akizungumza na Media jana kuhusu kipindi hicho, kulia kwake ni Naibu Mkurugenzi wa Diaspora Wizara ya Mambo ya Nje Mama Rose Gairo live!!





Le Mutuz Nation talking to Naibu Mkurugenzi wa Diaspora Wizara ya Mambo ya Nje Mama Rose Gairo live!!



0 comments:

Post a Comment