Muonekano wa nje wa jengo la kampuni ya Ok Electrical and Electronic Services Ltd mjini lindi
Mfanyakazi store Keeper Ndugu Hassan Mrisho
Mlinzi wa kampuni Endru Stambuli Mrope
Nguzo zilizo nje ya office
Store ya Electrical and Electronics Services Ltd
Aina ya Mita zinazofungwa katika vijiji ambavyo havijapata umeme Lindi
Johakim Peter Mallya project menager Electrical and Electronics Services Ltd
Ndugu Johakimu Peter Mallya Project Menager akiwa na Jackson Mishwaro Procurement Officer
Kibao kilichopo njia panda yakuelekea mtwara kikionyesha direction ya kufika katika office za kampuni ya Ok Electrical and Electronics Services Ltd.
Siku ya kesho ndo itakuwa siku husika na mahususi kwa wana kampuni wa Ok Electrical and Electronics Services Ltd kukutana na kujulishana wapi wametoka na wamefikia wapi katika hatua ufanyaji kazi kwenye kampuni.
0 comments:
Post a Comment