Wednesday, March 25, 2015
KINANA, CYRIL CHAMI, LEONIDAS GAMA WAVUNA MPUNGA
Posted by Williammalecela.com on Wednesday, March 25, 2015
1 comment
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kazi ya kuvuna Mpunga na Mbunge wa jimbo la Moshi Vijijini Dr. Cyril Chami na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Mh. Leonidas Gama wakati katibu mkuu huyo alipotembelea mashamba ya umwagiliaji ya Mabogini Mos
hi Vijijini
, ambapo amekagua miradi mbalimbali ya maendeleo na kushiriki katika kazi mbalimbali za mikono pamoja na wananchi, Kinana yuko katika ziara ya kikazi mkoani Kilimanjaro akikagua, kuhimiza na kusimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM akiongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-MOSHI VIJIJINI-KILIMANJARO)
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
na viongozi wenzake wakiendelea na kazi ya kuvuna mpunga.
Mpunga ukiwa umestawi katika mashamba hayo.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
akiongozana na Mkuu wa wilaya ya Moshi mjini Ndugu Novatus Makunga kulia wakati walipowasili katika kata ya Mabogini.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
akisalimiana na wananchi mbalimbali wa kata ya Mabogini.
Mbunge wa jimbo la Moshi Vijijini Mh. Dr. Cyril Chami akizungumza na wananchi wa kata ya Mabogini.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
akwahutubia wananchi katika kata ya Mabogini Moshi Vijijini wakati alipowatembelea.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
akisaini kitabu cha wageni huku akizungumza na Mkuu wa Chuo cha Ufundi cha Kibosho Maadam Anna na kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro Ndugu Iddi Juma.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
akizungumza na wanafunzi wa Chuo cha Ufundi cha Kibosho na walimu pamoja na wananchi wakati alipotembelea chuo hicho ambacho kimejengwa kwa nguvu za wananchi na marafiki wa Kibosho Education Trust Fund pamoja na Mbunge wa jimbo hilo Mh. Dr. Cyril Chami.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
akipanda mti katika chuo cha ufundi cha Kibosho.
Wasanii wakiimba wimbo kumkaribisha
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
wakati alipowasili katika kata ya Kibosho Kati kwa ajili ya mkutano wa hadhara.
Wasanii wakiimba wimbo kumkaribisha
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
wakati alipowasili katika kata ya Kibosho Kati kwa ajili ya mkutano wa hadhara.
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Newer Post
Older Post
Home
1 comment:
Anonymous
March 25, 2015 at 8:39 PM
huyu gama mona ata kuinama ni shida??
Reply
Delete
Replies
Reply
Add comment
Load more...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
TOTAL PAGEVIEWS
Popular Posts
LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
huyu gama mona ata kuinama ni shida??
ReplyDelete