Sunday, March 29, 2015


Tuache mawazo mgando Hivi mtu kuwa na mapenzi na mtu fulani ni kuchochea beef? ?? Mbona mimi team Yanga na kuna wengine ni team Simba Mwisho wa siku mechi zikiisha tunakaa tunatia story, tunakula na kunywa pamoja Kwani ukiwa team flani lazma uwe na beef na team nyingine? ?? I don't think so Hivyo basi msinilazimishie wala kunitengenezea beef na mtu ambae sina matatizo nae Pia msinichagulie nipende nini, niache nini Kila mtu ana Uhuru wa kupenda chochote Mwisho wa siku Hizi ni burudani sio vita Mimi ni Team Usher pia haimaanishi nina beef na Chris Brown Tuishie hapa Mwenye kuelewa na aelewe

0 comments:

Post a Comment