Posted by Williammalecela.com on Monday, March 02, 2015
 |
| Le Mutuz jana chatting with Waziri wa Mambo ya nchi za nje na Uhusiano wa Kimataifa Mh. Membe, kwenye msiba nyumbani kwa Mbunge wa CCM Marehemu Komba, Mbezi Tangi Bovu, Mheshimiwa Membe ni mmoja wa viongozi wanaotajwa kuwemo kwenye orodha ya wana CCM wanaotaka kumrithi Rais wa sasa Dk. JK. |
0 comments:
Post a Comment