Saturday, March 28, 2015

  
 Hizi ni baadhi ya picha za Staa mrembo kutoka Bongo Movies , Wema Sepetu akiwa pamoja na mshindi wa shindano la Big Brother Africa (BBA) 2014, Idris Sultan wakifanya manunuzi kwenye moja ya supermarket hapo bongo.Wawili hawa
wameonekana kuwa ni watu wa karibu sana sio tu kwa muonekano wa picha hizi bali hata kwa maneno ya wema wenyewe, kwani kwenye picha hiyo hapo juu Wema aliandika maneno haya;
SOMA ZAIDI>>

0 comments:

Post a Comment