Saturday, March 7, 2015

MA1Waziri wa Maji na Umwagiliaji Profesa Jumanne Maghembe akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ujenzi wa mradi wa maji kutoka Ziwa Victoria kwenda wilaya za Igunga,Nzega Uyui mpaka Tabora.
MA4Mbunge wa Igalula Mhandisi Athumani Mfutakamba, akieleza kufurahishwa kwake na ujenzi wa mradi huo unaotarajiwa kutekelezwa katika kipindi cha miezi 30.
MA5Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Waziri Maji na Umwagiliaji Profesa Jumanne Maghembe (hayupo pichani).MA6Baadhi ya waandishi wa habari na watendaji wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji wakimsikiliza Waziri Prof. Maghembe.
Picha zote na Hussein Makame-MAELEZO.

0 comments:

Post a Comment