| Mwanamama aliye kati kati na marafiki zake wa karibu sana ndiye anayesaidikiwa kuwa mke wa zamani wa Le Big Show aliyemrushia mtusi haya chini Jamiiforums!! | ![]() |
| By case mtanga
"Mbona babu lemutuz neema alikuaibisha ukonga
kwa kina mzee ngululupi,
mtotoz anawaka na ana kahandsome boy mpya na classy halafu watoto wako wanamuita baba na wewe wanakuita that fat looser haha aibu huoni babu jinga lemutuz, handsome boy kila anapaa usa na kurudi bongo kwenda kumgurahisa neema na watoto wake kina Agapeo wakati wewe unahangaika kutoka majasho na kutukanana na vitoto vya manzese kwenye instagram, huoni aibu watoto wako wamekuja bonfo halafu hawakuwa hata na time na wewe na hata ulivyoenda kuwafata ukonga walikutolea nishai na wakakukataa ba bado unajisifu kuomba omba kwa wanaume wenzako ili uchange umpatie urithi agapeo ambaye hata visenti vyako na noah yako ile hana mpango nayo, haha eti billionaire ,ungepanga kijumba cha njiwa pale lumumba huoni aibu wewe babu jinga, over 70 na bado unalipa kodi ba unajiita bilionaire really? If I were u I would shoot myself by now jinga wewe na mapensi nyanya yako kuli wa bandarini, kila siku unatangaza ndoa na wakati mtumbo na mafuta yamekufanya hata jogoo hapandi mtungi kama neema anavyosema ---- wewe, ndio maana watoto wako wanamuwish happy fathers day mama yao badala yako wewe cause ur not worth it, endelea kumfunhulia chicaho milango upate hela ya kula la sivyo utaadhirika town hapa na wakati kwenye urithi wa mzee malecela pia haumo haha ---- jinga wewe babu gojo."
"Nani akutake wewe lemutuz na wakati familia nzima ya kina neema walikuwa
hawakutaki kwa tabia zako kikekike na sifa za kijinga babu zima mtoto
wa beki tatu, mbona hutaki kuelezea hapa watoto waki walivyokukana live
kama hawakutaki na wala hawakuitaji hadi umeenda kulia kwenye noah lako
haha, Agapeo ameingia college halafu wewe hata hujui hadi uambiwe na
watu baki, unatry hard kumpigia simu lakini wala hapokei haha halafu eti
unajidai I work hard kumuwekea inheritance my son thubutu ---- we dume
zima ovyo, acha kujisifu una watoto na wakati wala hawakutaki wewe
kamnunulie mama yako nguo aache kuvaa yale matambara yake ya deki na
umtoe kwenye kila kibanda chake cha mbwa haha, babu over 55 bado unakaa
kwenye kijumba cha msajili kama kitoto cha kihindi haha na bado
unajisifu, eti ofisi ofisi kumbe ka corridor tu au uchochoro wewe babi
masifa utakufa kwa pressure, mtoto neema anazidi kuwaka wewe umeishia
kuftuka tu kama nguruwe jike mjamzito haha."
- Blogu ya Wananchi ilijaribu bila mafanikio kumpigia simu mwanamama huyo kutaka kujua kisa na mkasa wa kumrushia matusi mazito ya nguoni baba wa watoto wake na aliyekuwa Mume wake kwa miaka 15 na kuzaa naye watoto wawiili wakubwa hadi miaka 4 iliyopita walipoachana rasmi kisheria yaani kwa kutumia "Divorce" ambayo inasadikiwa aliitafuta yeye mwenye Mwanamama huyu ambaye mpaka sasa blogu hii haijapata jina lake kamili na ambaye inasemekana ameshaolewa kwa siri na mfanyakazi wa TBC anayeishi Tanzania ambaye pia ni Mume wa ndoa wa miaka 10 wa Mariam Komanya ambaye ana watoto naye wawili na anasoma nchini Uingereza. Hata hivyo Blogu hii imepata majibu yaliyotolewa na Mwanamama huyo kupitia kwa watu mbali mbali na marafiki zake wa karibu, akijibu tuhuma hizi alisema ......."Mimi sihusiki kabisa ni yeye mwenyewe ndiye nasikia anatukanana na wasichana kwenye mitandao" Alipoulizwa kuhusu some of details ndani ya matusi haya ambayo sio siri yameandikwa na yeye na mengine tumeyapunguza kwa sababu ni mazito mno alisema "Mimi sina muda wa kufanya hayo nina Mume wangu mpya tumeoana hapa New York, na majuzi nilipokuwa nyumbani Tanzania tumeoana tena na wakati muafaka nitawatangazia rasmi".
Blogu ya Wananchi ilimtafuta The King Of All Bongo Social Media Network Le Mutuz Nation ambaye ndiye hasa mlengwa wa matusi haya mazito ya nguoni kutaka kujua maoni yake, naye alijibu kwamba "Nimeyaona hayo matusi Jamiiforums, nimeyaprint na kumpelekea Mama yake mzazi ambaye amekubali kwamba yameandikwa na mtoto wake au aliyetumwa na mtoto wake huyo anayeishi Marekani."
Le Mutuz alisema "Binafsi sijashtushwa na haya matusi nilijua it was a matter of time maana toka tumeachana amekuwa akiwatumia ndugu na marafiki zake kunichafua kwenye mitandao huku yeye mwenyewe akijificha sasa nilijua asipofanikiwa anachotaka yaani kuni break kisaikolojia kuna siku atajitokeza mwenyewe. Amekuwa akiwatumia ujumbe wa matusi na maneno mabovu sana wale anaodhani ni marafiki zangu wa kike, kuna wakati amejaribu kumtuma rafiki yake wa karibu amuombe Rafiki yangu wa karibu sana hapa bongo aniombe turudiane lakini nilishasema siangalii nyuma tena. Sasa ni maajabu makubwa sana leo kurushiwa maneno ya ajabu kama haya kwa mtu ambaye tayari ameolewa na maisha yake mapya"
Le Mutuz ambaye kwa jina lingine anajulikana kama Le Big Show au Le Baharia , alisema "Hata baba yangu amesikitishwa sana na haya matusi, lakini ninasema kwamba siwezi kumjibu haya matusi maana mimi nilishamsahau kama yupo mpaka nilipoona haya matusi, I mean Miaka 4 ni mingi sana nilitegemea alishayapita ya kuachana sasa kumbe mpaka leo bado ana maumivu namuombea sana kwa Mungu amsaidie aondokane na haya maumivu maana Mwanaume uliyeishi naye kwa miaka yote hiyo leo kuja kumzushia uzushi mzito hivi sielewi nia na madhumuni unless anataka nisipate mke tena maana hayo maneno aliyoyasema kama ingekuwa kweli ni mazito sana na pia hata huyo bwana aliyenaye sasa kama ni kweli basi anatakiwa kuwa muangalifu sana maana na yeye yatamkuta haya haya akiachana na huyo bibie. Otherwise namtakia safari njema ya maisha yake ila mimi nilishamsahau nilirudi bongo na ninaendelea na maisha yangu, ingawa imenishangaza sana kwa mtu anayeishi Marekani kujua ninapoishia mapaka majina ya marafiki zangu mimi nilidhani watu wakiwa Ulaya wanakuwa busy sana"
Aliongeza Le Mutuz kwa kicheko chake cha kawaida "hahahahahahahahahahahahha ni muhimu sana Wanaume wenzangu wakajifunza from this kwamba kuwa mungalifu na mke unayetaka kumuoa na jitahidi kuijua familia yake kwanza maana mtu anayeweza kumfanyia vitendo kama hivi Baba wa watoto wake aliyeishi naye miaka 15 inasema nini kuhusu malezi yake?" Alisema Le Mutuz Nation "Baada ya haya matusi mazito kurushwa na yeye mwenyewe kwa mara ya kwanza, nimeona ukali na hasira ndani ya hayo maneno kuna kitu ndani ya roho yangu kinaniambia ninahitaji kuwa muangalifu sana na huyo mama maana kama anaweza kuandika uzushi mzito kama huo atashindwa nini kuniua akipata nafasi?" - Blogu ya Wananchi
Le Mutuz Baharia Iluminata Bukuru,
HAHAHAHAHAHAHAHA WELL THANKS SIJAPOTEZA MUDA WANGU KUMJIBU ILA NILITAKA WANAOMJUA NA
WASIOMJUA WAMUELEWE VIZURI, NASHUKURU UMEELEWA KWAMBA IT IS SAD, MALEZI
YETU NI MUHIMU SANA.
Iluminata Bukuru Kaka,malezi
tatizo na familia zetu,bora hata wewe mimi kijana tumependana akiwa
chokoraa hana baba wala mama ndugu hawamtaki stesheni ndo makazi,chakula
anakula kwa mama ntiliye kilichobakizwa na wateja baada ya kumfanyia
kazi,ila penzi haliangalii mtu
yukoje mkipendana kaka tumependana uchumba ukawa uchumba ukabarikiwa
kwa mchungaji,tukapanga mkakati wa maendeleo ya baadae ya familia yetu
nikajitahidi nikipata mshahara nampa mume mtarajiwa afanye biashara
mpaka biashara ikawa kubwa nikachukua mkopo kupanua biashara ona
alichofanya kakimbia nchi kaenda uganda maisha yakamshinda.nikazidi omba
mungu tu kwako wewe ni twisheni mimi ilikuwa mtihani,omba Mungu
asimamie maisha yako,
Shimilimana Zindutse Heee
ivi unaweza kuwa mkubwa kiumri but Kiakili usiwe mkubwa haya matusi
mimi yametoa machozi kama nimetukanwa mm kweli mwanamke mwenye akili
timamu aliyeingia leba anaweza kutoa matusi kama. Haya kwa mwanaume
waliye lala kitanda kimoja na kuvuana nguo? huyu dada atakua sio mzima
au hakuzaliwa na mwanamke
Shimilimana Zindutse Mimi
uyu atakuwa bado anakutaka sio bure huwezi fatilia maisha ya mtu
uliyesema its over inakuwaje urudi nyuma na uangilie anaishi vipi
anakula nn ukiamua ku move on songa mbele sio kurudi nyuma tena sasa ona
kama siokujiaibisha ni nn kama maumbile yake yanakasoro ilikuwaje
ukazaa naye alafu hao watoto unawapa picha gani sasa shame on u we
mwanamke wala wanawake wa kitanzania hatuko ivo umeaibisha mpaka familia
yako
Write a comment...
|
Monday, March 2, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




0 comments:
Post a Comment