Monday, March 16, 2015


 Moto ukiwa umeanza kuwaka katika bweni la wanachuo Mabibo


Moto ukielekea kuzimwa baada ya zima moto kuwasili pamoja na jitihada za wanafunzi

Kido Machaula mwanafunzi wa chuo kikuu akielezea juu ya tukio la moto katika mabweni yao live 

Sauti ya kiongozi wa zimamoto ndugu Juma Lundala akielezea tukio zima
 Muonekano  wa chini wanafunzi wakiwa wanajitahidi kutoa vitu nje
Chumba hiki kilikuwa kina hifadhi magodoro baada ya kuungua 
 Polisi wa kikosi cha zima moto John Edson akiwa juu ya bweni akiendelea kuzima moto.
 Baadhi ya magodolo yaliyo bakia vipande baada ya kuungua 
Baada ya kuwasili Profesa Rwekaza Mukandala kiongozi wa chuo kikuu cha dae es salam alisema hasara iliyo patikana nikubwa ila watajitahidi jinsi gani ya kuwasaidia wanafunzi wapate sehemu ya kulala iliyo salama.

Alisema usalama upo wa kutosha kutokana na kuwepo askali kama kamanda wa mkoa Mr Wambula pamoja na mama Nante Kilonzo kiongozi msimamizi wa chuo cha dar es salaam.


0 comments:

Post a Comment