Wednesday, March 18, 2015

 Dogo masai kazini

Hi nikali na yaina yake movie inaitwa DOGO MASAI imeingia sokoni siku sio moja ila mpaka sasa yasemekana kutisha kwa mauzo baada yakile kinacho semekana ni baada ya kupelekwa katika tuzo za majuu nchini marekani au mbelelezz na watu kuielewa na ikafanikiwa kuchukua tuzo nakuleta heshima nyumbani.

Ni movie inayo muonesha kijana mwenye asili ya kimasai katika harakati zake za maisha mtu mweusi katika kujitafutia ridhiki na kupitia misukosuko mingi ila safari bado ikawa  inaendelea katika movie hii dogo anayezungumziwa ni OMARY CLAYTON ambaye ni Actor na pia ni Director wa movie pamoja na utunzi usikose kukamata nakala yako sasa.
Categories:

0 comments:

Post a Comment