Habari
ya Mjini leo ni Hawa watu wawili Mtangazaji Edzen na Moza..Ambao
inasemekana walikuja kuwa wapenzi baada ya Edzen kuachana na Dida..leo
imesambaa video kwenye Insta na whats app ikionyesha Edzen akitoka kuoga
na kuingia chumbani akiwa na taulo na kisha kulivua na kuweka
mambo hadharani ..huku akivaa boxer.....Video
inasemekana imechukuliwa na Moza , Mazingira yanaonyesha ni chumba cha
msichana hivyo alikuwa kwa moza .....
Aibu sana hii kitu mpaka nimeshindwa kuweka video kwa ajili ya Maadili ..Embu Edzen badilika sasa we kila siku majanga tu na hawa wadada.bofya chini uione video
Aibu sana hii kitu mpaka nimeshindwa kuweka video kwa ajili ya Maadili ..Embu Edzen badilika sasa we kila siku majanga tu na hawa wadada.bofya chini uione video
0 comments:
Post a Comment