Posted by Williammalecela.com on Sunday, March 08, 2015
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa amebeba maji tayari kwa kumwagilia nyanya katika shamaba la vijana wajasiriamali wa kijiji cha Nkulabi kata ya Mpunguzi mkoani Dodoma wakati akiwa katika ziara yake ya jimbo la Dodoma mjini leo inayoendelea mkoani humo akikagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM inayotekelezwa na serikali kwa kushirikiana na wananchi, Kinana yuko katika ziara ya mikoa mitatu ya Dodoma, Arusha na Kilimanjaro akiongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-DODOMA). Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa amebeba maji tayari kwa kumwagilia nyanya katika shamaba hilo kijijini Nkulabi kata ya Mpunguzi. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimwagilia maji katika shamba la nyanya katika shamba la vijana wajasiriamali wa kijiji cha Nkulabi kata ya Mpunguzi. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akirejea mara baada ya kumaliza kazi ya kushiriki kazi ya kumwagilia shamba la nyanya. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akifurahia jambo huku Nape Nnauye akimuangalia na Mkuu wa mkoa wa Dodoma Luteni Mstaafu Chiku Galawa akicheka.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na viongozi wengine wakishiriki kuchimba mtaro wa maji katika shule ya msingi Nzuguni Kata ya Nzuguni, Dodoma mjini.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia ngoma za asili zilizokuwa zikipigwa wakati wa mapokezi katika Shule ya Msingi ya Nzuguni .Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua mradi mkubwa wa maji ulioahidiwa na Rais Jakaya Kikwete ambao kwa sasa umekanilika kwa kiwango kikubwa kwani kata ya Nzuguni tayari wameshapata maji na wataendelea kusambaza mabomba mengine kwa umbali wa kilomita tano na nusu ili kuwapatia wananchi maji safi na salama.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa shule ya sekondari Lukundo,Chang’ombe Dodoma mjini.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiteta jambo na vijana wa Skauti wakati alipowasili katika shule ya sekondari Lukundo,Chang’ombe Dodoma mjini.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivishwa skafu na vijana wa Skauti wakati alipowasili katika shule ya sekondari Lukundo,Chang’ombe Dodoma mjini.Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi Siasa na Uenezi akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Barafu mjini Dodoma.Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma Mh. Adam Kimbisa akiwahutubia wananchi waliohudhuria mkutano huo.Umati wa wananchi waliohudhuria katika mkutano huo wakifuatilia kwa makini sana.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi mjini Dodoma Katika viwanja vya Marafu.Nape Nnauye akimsikiliza kwa makini Balozi Job Lusinde ambaye alikuwepo wakati mkutano huo ukiendelea.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipongezwa na Askofu Mwamasika aliyehudhuria katika mkutano huo wa hadhara.Wanachama wapya wa CCM wakila kiapo mara baada ya kukabidhiwa kadi zao na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
0 comments:
Post a Comment