Monday, March 30, 2015


Baadhi ya Abiria na wananchi wa kijiji cha Milundikwa wilayani Nkasi mkoani Rukwa, wakiangalia basi la Ndenjela Express lenye namba za usajili T 850 CRE kutoka Sumbawanga kwenda Mpanda mkoani Katavi ambalo limepinduka jana nyakati za saa 11 jioni. Abiria kadhaa walijeruhiwa na kukimbizwa hospitali ya Mkoa mjini Sumbawanga. Picha na Mussa Mwangoka



0 comments:

Post a Comment