Jeneza lenye mwili wa marehemu likiwa viwanja vya Karimajee.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK. Jakaya Mrisho Kikwete, akiongoza
maelfu ya Watanzania kuuaga mwili wa Kapteni John Komba, katika viwanja
vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Tanzania Ali Hassani Mwinyi akipita kando ya jeneza lenye mwili wa John Komba.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa akitoa heshima za mwisho.
Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda akiaga.
Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Eduard Lowassa, akipita kando ya jeneza.
Huyu ni Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulahman Kinana.
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa zamani wa CCM. Yusuf Makamba akilia kwa uchungu wakati anakaribia jeneza.
Huyu ni mwanasiasa mkongwe Kingunge Ngombale-Mwiru.
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Dk. Rejinard Mengi akiaga.
Waziri wa Utalii Razaro Nyalandu akiaga mwili wa marehemu John Komba.
Mkuu wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna wa Polisi, Selemani Kova, akipiga saluti wakati wa kuaga.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Fenella Mukangala, akitoa heshima zake za mwisho.
Huyu ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Benard Membe.
Mchungaji Getrud Rwakatale akitoa heshima za mwisho.
Mwenyekiti wa Chama cha TLP Augustine Mrema akipita kando ya jeneza.
Anna Tibaijuka akitoa heshima zake.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)akipita kumuaga marehemu Komba.
Huyu ni Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia.
Mbunge wa Urambo Magharibi, Prof. Juma Kapuya, akitoa heshima zake za mwisho.
Mbunge wa Kilosa, Mustapha Mkullo, akitoa heshima zake.
Huyu ni Mbunge wa Nzega, Hamis Kingwangala.
Sehemu ya umati wa waombolezaji.
Mwakilishi wa Kambi ya Upinzani, Joshua Nasari, wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)akiongea jambo.
Spika wa Bunge, Anna Makinda akitoa ujumbe katika msiba huo.
Wasanii wa filamu na muziki wa Bongo Fleva wakiimba wimbo maalum wa kumuaga marehemu Komba.
Baadhi ya wasanii walioimba wimbo maalum.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nauye (katikati) akiimba wimbo maalum na wasanii wa muziki wa dansi.
Rais Kikwete (katikati) akiwa na makamu wake Gharib Bilal (kushoto) na Spika Anna Makinda.
Rais Mstaafu Benjamin Mkapa (wa pili kulia) akiwa na mkewe Anna (wa tatu kulia) wakiwasili viwanja vya Karimjee.
Waziri mkuu aliyejiuzulu,Edward Lowassa (kulia)akisalimiana na Mkapa.
Spika wa Bunge, Anna Mkapa (kushoto) akiwa na Mkapa.
Mbunge wa Kinondoni Idd Azzan (kushoto) akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe.
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba (kulia) akiwa viwanja vya Karimjee.
Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba (kulia)akisalimiana na mwanasiasa mkongwe, Kingunge Ngombale.
Wake wa marehemu Komba, katikati ni mke mkubwa, Salome, na kulia ni mke mdogo.
Miongoni mwa wanafamilia wa marehemu Komba.

Mwili wa marehemu John Komba ukiingia Karimjee ili kuagwa na wananchi na viongozi leo jijini Dar.
Leo
February 02 2015 katika viwanja vya Karimjee DAR ilikuwa ni shughuli za
kuuaga mwili wa Marehemu Kapteni John Komba na baadaye ukasafirishwa
kwenda Ruvuma ambako yatafanyika mazishi.
Watu mbalimbali wameshiriki katika tulio hilo, hapa kuna picha kutoka Karimjee.
RIP Kapteni KOMBA.


Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba

Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Alhaj Ali Hassa Mwinyi akitoa heshima za mwisho

Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa na Mkewe Anna Mkapa wakitoa heshima za mwisho

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa.


Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Luteni KanaliSamuel Ndomba.

Mbunge Jenista Mhagama.

Kingunge Ngombale–Mwiru.

Kamanda Kova.

Wabunge wakiifariji familia ya Marehemu.

Makamu wa Rais, Dkt. Mohamed Gharib Bilal na wake zake, Asha na Zakhia.

Mhe. Ole Sendeka.








Khadija Kopa.




Mama Regina na Mama Sophia Kawawa.

Rais mstaafu Benjamin Mkapa na Spika wa Bunge Anne Makinda.


Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa akiifariji familia ya marehemu.



Mjane wa Marehemu, Salome Komba.






Mbunge wa
Jimbo la Arumeru Mashariki,Mh. Joshua Nassari akitoa salamu za rambi
rambi kwa niaba ya kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni.


Rais Dkt. Jakaya Kikwete akizungumza na Mh. Joshua Nassari.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii,Mh. Saidi Mtanda akitoa salamu za rambi rambi kwa niaba ya Kamati yake.





Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana akitoa salamu za Chama.





Waziri wa
Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera na Uratibu wa Bunge,Mh. Jenista Mhagama
akitoa salamu za Serikali katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam leo.






















0 comments:
Post a Comment