Jamani bila hiyana tufike sehem tuseme na tukubali kuwa zari nimzuri jamani and she is smart sanaaaaa an goodlooking oooo mara komwe sasa watu wakiamua kuweka makomwe hapaa sijui nini sawaaa ndio linampendeza sasa tena sanaa jamani wifi wa taifa eti bibi acheni wivuuuu kisa kawazidiiii hahaha eti utajiri wake wamagumashi hahahaha hahah eti anapewa magari na
kampuni anadvataiz hahaha sasa mpka makampuni ya magari yanasainisha mkataba na yeye si tajiri huyooo?????na ujue magar hayo anapewa kubalini tu yuko juu Bongo bana noma sanaaa acheni kufikiria kwa kitumia ..
0 comments:
Post a Comment