. Q..una mtoto mchanga na unafanya show km kawa unawezaje kulea huku unapiga show? . SNURA: ni suala la kujipanga tu, natenga muda wa kulea na wa kufanya mziki . Q:hivi hawa watoto wako unawalea pekeyako au unapata usaidizi toka kwa baba zao? . SNURA: Kikubwa naomba itambulike watoto zangu kwa asilimia kubwa nawalea mimi kama mimi. . Q: ni matatizo gani unapambana nayo katika kulea pekeyako? . SNURA: yaani ugumu upo sana hata
siwezi kuelezea kwa sababu maumivu ni mengi unachoka akili na mwili lkn sina jinsi . Q: kutokana na changamoto hizo ulishawahi kujuta kwanini ulizaa? . SNURA: Sijawahi na wala sitajuta hata siku moja sababu nimezaa kwa kupenda mwenyewe . Q: unawaambia nini wale wanaotoa mimba na kutupa watoto zao baada ya kukimbiwa na waume waliowazalisha? . SNURA: Wanaume wanaokimbia watoto zao ni maatahira ila nawashauri wanawake wenzangu wapigane mpk tone la mwisho kwani watoto ni zawadi kubwa kutoka kwa mungu... . Q: vipi kuhusu wanaume wakware kutokana na umbo lako na mauno unayoyakata stejini? . SNURA: Usumbufu kwa mtoto wa kike ni jambo la kawaida wapo wengi wanaonitamani lkn mimi najiheshimu.. . Q: kuna tetesi unatumia dawa za kichina kukuza matako je ni kweli? . SNURA: Si kweli hili umbo ni original kwetu tupo hivi kuna mdogo wangu huyo hili umbo langu cha mtoto . Q:kuna habari unambemenda mtoto kutokana na kushindwa kujizuia eti ni kweli? . SNURA:Mimi sio mshamba wa mapenzi najua kujizuia na hata ssa nalea siwez kufanya hayo mambo . Q::story zinasema ww na shilole mna beef kali je ttzo nini na nuh anachangiaje beef hilo? . SNURA: Mwanzoni watu walikuwa wanasema sisi tunabeef lkn tukikutana tunasalimiana vzr...hivi karibuni nimebaini mwenzangu anamichukia kweli...juzi kati mpenzi wake nuh ameongea maneno machafu sana dhidi yangu...alinkashfu kwenye radio naamshangaa ni mwanaume wa aina gani ambae anaingilia mambo ya kike....... Mimi namtaka aache mambo ya kike kwani ipo siku tutamsuta na atavishwa dila km mwanamke maana kwa mwanaume mwenye akili hawez kuingilia mambo ya wanawake.... Imeandikwa na usipojipangantakupanga
0 comments:
Post a Comment