Saturday, March 28, 2015


Diamond na Zari
Unaambiwa kwa sasa katika Wanaume wenye Furaha Bongo Basi huwezi kumwacha nyuma Mwanamuziki Diamond, Furaha hiyo inatokana na Ujauzito

aliompa Mrembo Zari , Diamond ameweka picha hiyo hapo kwenye ukurasa wake wa facebook akionyesha furaha yake huku akionekana kunawiri na kutoka shavu dodo

0 comments:

Post a Comment